WATOTO WA NYOTA ZA
MASHUKE
Nyota ya Mashuke kwa watoto waliozaliwa kati ya tarehe Tarehe 23 Agosti mpaka tarehe 23 Septemba.
Nyota ya Mashuke kwa watoto waliozaliwa kati ya tarehe Tarehe 23 Agosti mpaka tarehe 23 Septemba.
Watoto wa Nyota hii ni waangalifu, wenye jitihada, tegemezi, wakimya wa wana kipaji cha ajabu cha kuiga mambo.
Ni watoto ambao wanaopenda sana unadhifu hasa wakiwa shule na wanatekeleza vizuri wajibu wao wakiwa shuleni.
Ni watoto ambao wanaopenda sana unadhifu hasa wakiwa shule na wanatekeleza vizuri wajibu wao wakiwa shuleni.
Hawaogopi majukumu ya darasani na huwa wanafanya vizuri sana katika mambo ya kuandika (Litreture) ni vizuri kuwasaidia katika mambo kama hayo. Hawa watoto hawa wana hisia kubwa lakini wana aibu sana na wanapenda sana usalama na mapenzi ya wazi kutoka kwa na wazazi wao.
Wakihisi kuwa hawapati hayo wanayoyataka basi huwa hujifanya wanaumwa ingawa sio wagonjwa ili wabembelezwe na wapate wanachokitaka.
Wakihisi kuwa hawapati hayo wanayoyataka basi huwa hujifanya wanaumwa ingawa sio wagonjwa ili wabembelezwe na wapate wanachokitaka.
Ni watoto wadadisi sana na anapotaka kujua jambo basi hutuma upole na lugha tamu na ya kistaarabu mpaka utamwambia analotaka kujua Wanapenda sana kujishughulisha, ukimskia anakwambia anaumwa na tumbo basi wewe usiangalie amekula nini wewe muulize kitu gani kinachompa wasiwasi, kwa sababu kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya matatizo na maradhi.
Watoto wa Nyota hii hupenda sana usalama na wanakuwa nataratibu na mwelekeo maalum wakati mwingine huwafundisha mpaka wazazi wao jinsi wanavyotaka mambo yawe.
Jambo lingine usisahau watoto wa Nyota hii huwa hawasahau jambo lolote utakalomfanyia.
Jambo lingine usisahau watoto wa Nyota hii huwa hawasahau jambo lolote utakalomfanyia.
MIZANI
Nyota ya Mizani kwa watoto waliozaliwa kati ya tarehe Tarehe 24 Septemba mpaka tarehe 23 Oktoba.
Nyota ya Mizani kwa watoto waliozaliwa kati ya tarehe Tarehe 24 Septemba mpaka tarehe 23 Oktoba.
Watoto wa Nyota hii wanapendeza sana kuwa nao kwa sababu kwanza ni wakarimu, halafu ni wastaarabu na wacheshi sana.
Tatizo lao ni kwamba wanaweza wakawa ni wavivu kwa kukosa sababu ya kufanya jambo. Hii inamaanisha kwamba kama jambo halitaki basi halifanyi, kwa hiyo mzazi anatakiwa awe anamuhamasisha mtoto huyu kufanya mambo ambayo pengne hayapendi lakini yana manufaa kwake huyo mtoto.

Watoto wa nyota hii wanapenda sana vitabu hasa vitabu vyenye hadithi nzuri na mapenzi yao hayaishii katika uzuri wa hadithi huwa wanapenda hata majalada ya vitabu vyenyewe,
Watoto hawa wanapenda sana michezo ya kutumia nguvu, kama raga ngumi, mpira wa miguu na michezo ua aina hiyo, hii inawafanya waonyeshe uwezo na ushindani wao.
Watoto hawa wanapenda sana michezo ya kutumia nguvu, kama raga ngumi, mpira wa miguu na michezo ua aina hiyo, hii inawafanya waonyeshe uwezo na ushindani wao.
Tatizo lao kubwa ni namna ya kufanya maamuzi hata katika mambo ya kipuuzi kabisa. Mara nyingi huwaomba wazazi wao au watu wengine wawafanyioe maamuzi. Tabia hii mzazi usikubaliane nayo kabisa tamuharibia maisha.
Mzazi unatakiwa Uwasaidie kuwaelekeza nanma ya kufanya maamuzi wao wenyewe kwa kuzungumzia tatizo lenyewe na kumuelekeza namna ya kupata ufumbuzi. Kama imeshindikana fanya maamuzi wewe mwenyewe lakini utakuja kugundua hapo baadae huyo mtoto wako atakuwa mbishi na kupingana au kutokubaliana na wewe katka maamuzi yako.
NGE
Nyota ya Nge kwa watoto waliozaliwa kati ya tarehe Tarehe 24 Oktoba mpaka tarehe 23 November.
Nyota ya Nge kwa watoto waliozaliwa kati ya tarehe Tarehe 24 Oktoba mpaka tarehe 23 November.
Watoto wa Nyota hii wana hisia kali, ni wakali sana na wanapenda sana kununa.Mzazi wa mtoto huyu anatakiwa ahakikishe anampa mambo ya kumshughulisha wakati wote hii inaweza kuwasaidia kuthibit hisia zao.
Watoto hawa wana nguvu, bidii na uwezo mkubwa. Kama uwezo huo usipotumika katika njia zinazofaa wanaweza kuutumia katika njia mbaya hasa za uharibifu wa vitu hapo nyumbani.
Unachotakuwa kufanya wewe mzazi ni kumpangia utaratibu maalum na wa mara kwa mara kinidhamu. Lakini utaratibu huo unatakiwa uutolee maelezo kwa nini unafanya hivyo.Kwa sababu lazima atakuuliza. Hiyo itamsaidia mtoto huyu kuwa na maisha mazuri hapo baadae.Watoto hawa hawataki kuingiliwa na ni vizuri kwa mzazi kuheshimu haki yao ya kutoingilwa hasa katika masuala binafsi. (Privacy)
Watoto wa Nyota hii wana kumbukumbu nzuri na wanapenda sana kudadisi kuhusu mambo ya dunia na yale yanayowazunguka wao.
Watakuuliza maswali chungu nzima mpaka yatakukasirisha wewe mzazi. Kama mzazi wa unatakiwa kuelewa kwamba ni kweli Watoto hawa wanataka kujua namna dunia inavyofanya kazi.
Watoto wa Nyota ya nge wanapenda sana kusaidia wenzao, wawe ndugu au marafiki na wanapenda kuhakikisha wanajilinda na kuwalinda wale wanaowapenda.

kesho tutaendelea na yota zilizobaki endeleeni kujifunza
No comments:
Post a Comment