KWA NINI WANAWAKE WENGI HAWAOLEWI?
Sababu ziko nyingi pamoja na kupata hasad choyo,
mfano kufanyiwa mambo ya kichawi, katika Ndoa na jini mahaba.
Dada aliyeshikwa na jini mahaba hata akipata mchumba kukaa kwenye uchumba ni ngumu.
Lile jini humsababishia migogoro inayopekekea kuachana au kuvunja uchumba huo.
Wengine mwanzo wa ku-date huwa na furaha iliyopitiliza lakini baada ya muda mfupi hujikuta hana tena Intrest na uchumba na huyu mkaka aliejitokeza.
Au mkaka kila akimuangalia mchumba wake anamuona kama kituko.
Au akikaa naye anasikia harufu za ajabu.
UTAJUAJE KAMA UNA JINI MAHABA?
Dalili ya kwanza ni kufanya mapenzi na mtu au watu katika ndoto mara kwa mara.
Hii ndio dalili kubwa.
Nyingine ni usafi uliopitiliza, yaani ukivaa nguo nyeupe hata ikapata kidoa kidogo tu, kisichoonekana utasikia kuumwa lazima ubadilishe.
=> Kupendelea mambo ya ngono, picha za utupu, riwaya na vijarida vya ngono, hadithi na mazungumzo ya ngono ndio yanayoburudisha moyo wako.
=> Kujichua/punyeto/masturbation pia ni dalili moja wapo ya mtu aliyefungwa na huyu jini MAHABA.
Anasababisha pia hasira za karibu, uvivu hasa kwenye mambo ya kujikwamua kimaisha, mikosi na hasara.
=> Mtu aliyefungwa na jini mahaba hata akiingia kwenye nyumba ya Ibada muonekano wake tu unaleta mihemko ya kimahaba.
Hata akivaa dera na kilemba bado atatamaniwa kingono kwa sababu ya uvuvio wa hilo jini.
Hili linachangia sana wadada wengi Ndoa zao kutozaa matunda.
Yaani mki-date tu hivi bila NDOA- amani inakuwepo ila mkitaka kuingia kwenye NDOA ndio kutokuelewana kunaibuka,
kwa sababu huyu jini hujipa uhalali kuwa amefunga Ndoa na huyu binti.
Wapo wengine wamefika mbali mpaka anabeba mimba kabisa bila kukutana na mwanaume,
anasikia dalili zote za Mama Mjamzito na mwisho anaota amezaa ndotoni.
Hii ni stage mbaya. Tafuta msaada wa tiba Na maombi Kisomo Na Dua.
=Jini mahaba pia husababisha (Demonic Fibroid and blocked tubes.) Uvimbe kwenye mirija ya uzazi au kizazi na kuziba mirija.
Wanawake wengi (Sio wote) wenye tatizo la uvimbe kwenye kizazi au kuziba mirija kunakopekekea kukosa watoto,
ukiwauliza watakwambia wanashiriki mapenzi na watu kwenye ndoto tunaita Spiritual Husbands.
Na ukimtoa hilo Jini hata uvimbe unayeyuka.
Kwa sababu huwa ni deposit ya ule uchafu wa Jini huyu anaacha ndani yao anapowaingilia.
Kama una experience hii kitu tafuta msaada wa tiba haraka.
Maana hata ikitokea umeolewa bila kushughulikiwa hili Jini MAHABA humo ndani itakuwa Vita vya Maji Maji kila siku.
Jini mahaba yupo kwa wanawake na wanaume.
Sio wanawake peke yao tu.
Sio wanawake peke yao tu.
Ukiona unadalili hizo tafuta msaada mapema tupo kukusaidia.
Piga simu 0779206600.
Inshallah natarajia kuanzia jumapili nitakuwepo dar, nitafika hadi morogoro.
inshallah kwa mwenye matatizo hayo mnaweza nitafuta biiznillah nitakusaidia tatizo litaondoka.
No comments:
Post a Comment