WATOTO WA NYOTA ZA
MSHALE
Nyota ya Mshale kwa watoto waliozaliwa kati ya Tarehe 23 November mpaka tarehe 21 Desemba

Watoto wa Nyota hii wana tabasamu na bashasha ya hali ya juu, hata katika picha za pamoja nyumbani au shule au katika kikundi chochote itakuwa rahisi kwako kumtambua.
Watoto hawa wanapenda sana matukio na wako tayari hata kwenda mbali kuyatafuta matukio hayo . wana tabia ya kupenda jambo Fulani moja kwa moja, kwa ni jukumu la wazazi wa Watoto hawa kuwafunza kuhusu ubaya na uzuri wa mambo hii itawasaidia katika kukuza kipaji chao cha asili cha kuona mbali
Mzazi unatakiwa uwahimize sana wajishughulishe na mambo yote ya kutumia nguvu na akili.

Watoto hawa huwa wanafurahia sana kufanya kazi za kawaida lakini huwa wanachoka haraka ni vizuri kwa mzazi ukitumia nafasi hii kuwafanya wajishughulishe na kazi ambazo zitakuwa na manufaa kwao hapo baadae.
Pamoja na hayo Wanaweza kuwa wasumbufu na wenye kusita sita au kuchelewesha muda unapompa majukumu au kazi ambazo hazimsisimui.
Watoto hawa ni waaminifu na wana uchungu wa kusema ukweli katika jambo lolote na wakisema jambo huwa na uhakika nalo na wanapenda wewe kama mzazi umwambie ukweli na uwe na uhakika na hilo unalosema. Kuna wakati mwingine unaweza kumdanganya sio wakati wote.

Watoto hawa wako tayari kufuata sheria wanapoona kwa kufanya hivyo kuna maana. Kama unataka kumwambia mtoto wa Nyota hii jambo la kufanya hakikisha jambo lenyewe lina mantiki.
MBUZI
Nyota ya Mbuzi kwa watoto waliozaliwa kati ya Tarehe 22 Desemba mpaka tarehe 20 January
Watoto wa Nyota Mbuzi wana tabia ya kufuata desturi kuliko hata wazazi wao. Kitu cha ajabu kwa wototo hawa ni kwamba huwa hawaonekani kama ni Watoto,
Mambo yao wanayofanya, ukizungumza nao jinsi anavyukutizama anavyokujibu, ni kama watu wazima, kadri wanavyozidi kukua na hii ni kweli ambayo ni kama uongo wanakuwa na utoto na huwa hawajali, na wanafanya mambo bila kufikiria.

Watoto wa Nyota hii wana Jazba na hisia kali ambazo huwa hawazionyeshi, na wana aibu sana. Hisia zao wanazitumia wanapotaka kujitetea, kwa hiyo ni juu ya wazazi wa Watoto hawa kuwasidia ili wajihisi wako huru kuelezea hisia zao. Hawa
Hawa mbuzi wadogo wana kipaji cha muziki ambacho kinahitaji kuendelezwa, ili kuwasaidia mzazi umsisitze umzoeshe kusoma vitabu tangu wadogo. Vile vile ni vizuri sana kuwapeleka katika starehe za nje mara kwa mara.

Watoto hawa wana tabia ya kulalamika na kunungunika halafu wanabadilika ghafla na kuwa wacheshi na kuchekesha wenziwao
Pamoja na udogo wake mzazi unatakiwa umchuklulie mtoto huyu kama mtu mzima na umpe majukumu mazito na atayatekeleza
Hawa mbuzi wanapenda mipangilio inayoeleweka kwa sababu inawasaidi kuwapa ulinzi wanaohitaji na kama unataka kuvunja utaratibu huo tafadhjali mtahadharishe kabla hujafanya lolote au sivyo kutatokea mikwaruzano..

NDOO
Nyota ya Ndoo kwa watoto waliozaliwa kati ya Tarehe 21 Januari mpaka tarehe 19 Februari

Watoto hawa wako tofauti sana na ndugu zao wa kike na wa kiume. Kiasili Ni Watoto wabunifu na wana ubinaadamu, pamoja na ukarimu wao lakini wanahitaji mapenzi, kupendwa na msaada kutoka kwa wazazi ili waelezee hisia zao na yale yanayowasibu moyoni.vinginevyo hujihisi kama wametengwa
Mbuzi wadogo wanapenda sana kuwa huru na ukiwazuia katika hilo wanakuwa wasumbufu sana.

Shuleni maendeleo yao yanaweza kuwa ni nusu kwa nusu, hasa wanapohisi kwamba wamepewa kazi za kufanya ambazo zina masharti mengi na sheria nyingi Ndoo wadogo wana vipaji na uwezo mkubwa wa akili ambao unahitaji kuendelezwa. Wakiachiwa wenyewe inakuwa vigumu kwao kujisaidia. hawezi kutafautisha kuni na miti. Watoto wa ndoo huwa wanapenda sana kujua jinsi vitu vinavyofanya kazi hasa midoli inayotumia mashini ambayo wataibomoa wajue ndani kuna nini
Unaonywa wewe mzazi motto huyu akipata nafasi ya kukifikia kitu cha thamani hapo nyumbani unaweza kulia.

SAMAKI
Nyota ya Samaki kwa watoto waliozaliwa kati ya Tarehe 20 Februari mpaka tarehe 20 Machi)
Kama ukiwa na mtoto mwenye rafiki mmoja au wawili wa kufikirika basi mtoto huyo atakuwa ni wa Nyota ya samaki.

Hawa samaki Watoto wana hisia nzito na ni wapole sana, na wanaishi katika ulimwengu wa ndoto na kufikirika wakipambana na uhalisi na ukweli wa kimaisha. Pamoja na ndoto zao ndani ya nyoyo zao wana shauku na ari ya kutekeleza malengo yao.
Hawa samaki wadogo wana akili nzuri sana lakini mipangilio ya shuleni kufanya masomo kwa ghibu huwa inawasumbua na hivyo kuonekana wavivu na huwa nyuma kimasomo..
Watoto hawa wa Nyota ya samaki ni wenye kubadilika badilika wakati wote na hupenda kunakshi ukweli.
Wana tabia ya kuwaambia watu wengine kile watu hao wanachotaka kusikia, sio kile ambacho yeye anahisi ambapo mara nyingi kinakuwa hakina maana au kinawafanya wao kuonekana waongo.
Nafikiri mmenufaika na elimu hii kesho nawaletea mambo mapya ahsanten

No comments:
Post a Comment