Breaking

for more information click below

PropellerAds

Thursday, 13 June 2019

TIBA YA MAGONJWA YA MIFUPA 0692330870/0692428200/0692385087 (Whatsapp)

PropellerAds
TIBA YA MAGONJWA YA MIFUPA 0692330870/0692428200/0692385087 (Whatsapp)
Mifupa ni muhimu sana katika mwili wako. Mtu yeyote huweza kupiga hatua kwa sababu ya mpangilio wa mifupa ulio ndani ya mwili wake. Katika umri mdogo kiwango cha mifupa mipya inayotengenezwa ni kikubwa sana kuliko kiwango cha mifupa inayokufa. Lakini mambo huwa kinyume katika umri mkubwa, ambapo kiwango cha mifupa kufa huwa ni kikubwa sana kuliko kiwango cha mifupa inayotengenezwa. Hii huelezea kwa nini kuna umuhimu wa kutumia virutubisho vinavyojenga mifupa katika umri mdogo na virutubisho vinavyotunza na kuhifadhi mifupa wakati wa umri mkubwa.
MAGONJWA YA MIFUPA
PropellerAds
Magonjwa ya mifupa ni mengi sana lakini hapa tunaangazia kwa ufupi baadhi ya magonjwa ya mifupa. Yapo magonjwa yatokanayo na umri kuongezeka lakini pia kuna magonjwa ya mifupa katika umri mdogo.
Rickets
Ni ugonjwa wa mifupa unaosababisha mifupa ya miguu kupinda. Ni ugonjwa unaowapata watoto wengi kwa sababu ya kukosa madini ya calcium na vitamin D. Watoto wengi ndio waathirikao na ugonjwa wa matege.
Osteoporosis
PropellerAds
Ni ugonjwa wa mifupa ambapo mifupa huwa milaini sana na kuweza kuvunjika wakati wowote. Watu wenye umri mkubwa ndio huwa katika hatari kubwa ya kukumbwa na ugonjwa wa osteoporosis. Mtu mwenye ugonjwa huu hupatwa na tatizo la mgongo kupinda na mara nyingi utamwona akitembea huku ameinama kwa sababu mifupa ya mgongo wake huanza kuvunjika.
MAGONJWA YA MAUNGIO YA MIFUPA "ARTHRITIS"
Arthritis Ni ugonjwa wa maungio ya mifupa ya binadamu. Ugonjwa huu hutokana na kuwepo kwa tatizo fulani katika maeneo ya maungio ya mifupa. Arthritis ni mkusanyiko wa magonjwa zaidi ya 500 yanayohusisha maungio ya mifupa. Katika kipengele hiki tutatazama aina chache hivi za magonjwa ya maungio ya mifupa.
Osteoathritis Arthritis
PropellerAds
Ni ugonjwa wa maungio ya mifupa unaotokea pale cartilage inaposagika na kupoteza ubora wake. Hali hii husababisha mifupa inayokutana kwenye maungio kusagika moja kwa moja na kusababisha maumivu makali ya mifupa. Watu wenye umri mkubwa na wenye unene mkubwa huwa katika hatari kubwa ya kupata aina hii ya ugonjwa wa maungio ya mifupa. Wanawake ndio hupata ugonjwa huu zaidi kuliko wanaume.
Ugonjwa huu hushambulia zaidi mikono, magoti, nyonga, shingo na upande wa chini wa mgongo. Huambatana na maumivu makali katika joints, joints hukaza hasa unapoamka asubuhi ama baada ya kukaa kwa muda mrefu, shida katika kutembea na wakati mwingine joints huvimba na kuonekana nyekundu na zenye joto unapozigusa. Huanza taratibu lakini maumivu huongezeka kwa kadri muda unavyoongezeka.
Rheumatoid Arthritis
PropellerAds
Aina hii ya ugonjwa wa arthritis hutokea pale kinga za mwili zinaposhambulia maungio ya mifupa. Kuna wakati kinga za mwili hushambulia sehemu fulani ya mwili tatizo linalojulikana kama Autoimmune. Kinga hizi hushambulia utando unaofunika maungio ya mifupa na kusababisha mifupa inayozungukwa na utando huo kusagika na cartilage kupoteza ubora wake kabisa.
Tofauti na osteoarthritis, rheumatoid arthritis huathiri mwili wote. Madhara yake hufikia kuathiri mapafu na mfumo mzima wa upumuaji, macho, ngozi, mdomo na tezi ya mate, moyo, damu na mishipa ya damu.
Gout
PropellerAds
Ni ugonjwa unaosababisha kuvimba kwa maungio ya mifupa na kusababisha maumivu makali sana. Huwapata zaidi wanaume wenye umri wa miaka kuanzia 40-50 kuliko wanawake, japo wanawake wanapokoma hedhi huwa katika hatari kubwa ya kupata ugonjwa huu.
Ugonjwa wa gout hutokea kama matokeo ya kujikusanya kwa uric acid kwa wingi kwenye maungio ya mifupa. Ikumbukwe kuwa uric acid ni uchafu unaotokana na kuvunjwa vunjwa kwa chakula aina ya purine ndani ya figo na kutolewa nje. Kama uric acid itashindwa kutolewa nje hujikusanya chini ya ngozi inayozunguka maungio ya mifupa na kusababisha ugonjwa wa gout.
TIBA YA MAGONJWA YA MIFUPA
PropellerAds
Magonjwa ya mifupa kama tulivyoona hapo juu, ni hatarishi hasa kwa watu wenye umri mkubwa, ambapo kiwango cha mifupa kufa ni kikubwa kuliko kiwango cha mifupa inayotengenezwa.
Hivyo Kama unasumbuliwa na tatizo lolote la mifupa na unahitaji tiba ili kuweza kutatua tatizo lako, Wasiliana nasi kupitia namba 0765044875/0692385087. Tunatumia dawa (Tibalishe na viritubisho) zenye ubora wa hali ya juu na uwezo mkubwa wa kuondoa tatizo pamoja na kuweka kinga.
Pia tunatoa huduma ya vipimo vya mwili mzima (full body checkup) kwa gharama ya tsh 10,000/= tuu. Tunapatikana Kinondoni-Morocco, Dar es salaam
PropellerAds
@allyhamisi_ @allyhamisi_
0692385087 Whatsapp
0765044875
NB:
BOFYA hapa CHINI kupata mfululizo wa makala yetu ya afya kila siku
Facebook page https://www.facebook.com/allyhamisi1225/
Whatsapp group https://chat.whatsapp.com/CwoN9qKG1wu6Rh8LgPTrxV
Instagram page @allyhamisi_ @allyhamisi_
PropellerAds

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

PropellerAds