CHANZO, DALILI NA MADHARA YA KUKOSA CHOO/KUPATA CHOO KATIKA HALI YA UKAVU (CONSTIPATION)
Je, kukosa choo ni nini?
UKOSEFU wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka, watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida.
Ukosefu wa choo wa muda mrefu, huwa ndiyo chanzo cha magonjwa mengine hatari.
Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa, uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu.
Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua chanzo chake.
Kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku, unapokosa choo kwa siku nzima ili hali una kula milo yote kwa siku, elewa una tatizo katika mfumo wako wa kusaga chakula hivyo unapaswa kuchukua hatua haraka.

Napenda kila mmoja wetu tuelewe kuwa, matatizo mengi ya magonjwa mbalimbali mara nyingi yamekuwa yakisababishwa na hali ya kukosa choo kutokana na milo yetu, kwa mfano:
Kutokwa na harufu mbaya mdomoni
Mwili kutoa harufu
Kichwa kugonga
Kupata tatizo la mshipa wa ngiri
Mishipa ya damu kuwa migumu na kusababisha shinikizo la juu la damu
Miguu au mikono kufa ganzi
Mwili kuwa mnene
Kukosa usingizi
Maumivu ya kiuno
Mwili kuchoka
Chakula kushindwa kurudiwa kumeng’enywa mara ya pili, na ulimi kuwa na utando mweupe.

Sumu inayonyonywa mara ya pili kutoka kwenye kinyesi kinachoshindwa kutoka tumboni, inaweza pia kusababisha:
Hali ya kipanda uso
Tumbo kujaa gesi mara kwa mara na kulifanya kunguruma na hivyo kujamba hewa yenye harufu mbaya
Homa ya uti wa mgongo au vimbe wa tando za uti wa mgongo na ubongo, nk.
Tumbo kujaa gesi mara kwa mara na kulifanya kunguruma na hivyo kujamba hewa yenye harufu mbaya
Homa ya uti wa mgongo au vimbe wa tando za uti wa mgongo na ubongo, nk.
Je, Nini Husababisha Kukosa Choo?
Baadhi ya Vitu vinavyosababisha Tatizo la Kukosa Choo ni:
Kutokunywa Maji ya Kutosha
Kutokula vyakula vyenye fiba (Vyakula vyeneye nyuzinyuzi) kama matunda na mboga za majani
Ulaji wa nyama nyekundu kwa wingi
Unywaji wa maziwa kupita kiasi
Kutofanya kazi za kushughulisha mwili na kukosa mazoezi

Watu wenye umri mkubwa au wazee mara nyingi hupatwa na tatizo la kukosa choo kutokana na mazoea ya kutokunywa maji mengi kwa siku.
Dalili Zake
Dalili za tatizo hili ni kama ifuatavyo:
Kupata Homa kali
Kutapika na kupata uvimbe/ vidonda nje ya sehemu ya haja kubwa
Kutumia nguvu na muda mwingi kupata choo
Ulimi kuwa na utando mweupe na hutoa harufu mbaya
Kukosa hamu ya kula na tumbo kujaa gesi
Kutetemeka kwa kuhisi baridii
kinyesi kuwa kigumu, kikavu na sio cha mara kwa mara
Mchafuko wa tumbo
Mwili kuishiwa nguvu
Kichwa kugonga
Maumivu ya kiuno.

Je, Nini Madhara Ya Kukosa Choo?
Madhara ya kukosa choo kwa muda mrefu kawaida huwa kama ifuatavyo:
Kutokewa na uvimbe/kinyama sehemu ya njia ya haja kubwa, yaani bawasiri(hemorrhoid).
Kukosa hamu ya kula
Ini na figo kushindwa kufanya kazi vizuri
Mishipa ya damu kukakamaa au kuwa migumu na kusababisha matatizo ya moyo.
Saratani ya utumbo mpana
Kukosa hamu ya kula
Ini na figo kushindwa kufanya kazi vizuri
Mishipa ya damu kukakamaa au kuwa migumu na kusababisha matatizo ya moyo.
Saratani ya utumbo mpana
Tiba Zake
Eternal Onternationall Clinic tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya kukosa choo/kupata choo katika hali ya ukavu na Bawasiri. Unahitaji huduma? tunaomba utupigie kwa namba 0692385087/0765044875
@allyhamisi_ @allyhamisi_
No comments:
Post a Comment